Albamu ya Video

MENEJA NEMC KANDA YA KASKAZINI LEWIS NZALI KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Lewis Nzali

Imewekwa: Jun 05, 2020

MHE. SIMU ALIPOFANYA UKAGUZI WA MAZINGIRA ENEO LA SALENDER

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima, ametembelea eneo la Salender kukagua uchafuzi wa Mazingira unaosabishwa na utitirishaji wa maji machafu pamoja na uharibifu wa miti ya mikoko.

Imewekwa: Jun 05, 2020

UJUMBE WA AFISA MAZINGIRA WA NEMC FREDRICK MULINDA KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA 5 JUNI 2020

Ujumbe kutoka kwa Afisa Mazingira wa Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (NEMC) Fredrick Mulinda kuelekea siku ya Mazingira Duniani inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 5 mwezi wa sita Duniani Kote.

Imewekwa: Jun 05, 2020

DKT. GWAMAKA AKIKAGUA MAZINGIRA DARAJA LA MASOTA

Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dtk. Samuel Gwamaka amewataka vijana wanaochimba mchanga maeneo ya mito kusajili vikundi vyao kuanzia uongozi wa mtaa na kata ili waweze kupata vibali na kuratibiwa na mamlaka husika, sambamba na kuhifadhi miundombinu katika eneo hilo.

Imewekwa: Jun 05, 2020

ZIARA YA WAZIRI ZUNGU BWAWA LA KUHIFADHI TOPE SUMU (TSF) MGODI WA BARRICK NORTH MARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu hii leo amekagua bwawa la kuhifadhia tope sumu katika Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara.

Imewekwa: Jun 05, 2020

ALICHOKISEMA MKURUGENZI WA NEMC DKT. GWAMAKA KATIKA UKAGUZI WA MAZINGIRA ENEO LA MABIBO - UBUNGO

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Samwel Gwamaka amefanya ziara katika eneo la Shule ya Sekondari Ubungo na maeneo ya jirani ili kujionea miundombinu ya maji taka na namna hatua kali zinaweza kuchukuliwa endapo watabainika wanaokiuka sheria.

Imewekwa: Jun 05, 2020