Albamu ya Video

WANAWAKE WA NEMC WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE 8/03/2022

Katika siku ya kuadhimisha siku ya Wanawake duniani, Wanawake wa NEMC wameshiriki katika maadhimisho ya siku hiyo kwa kushirikiana na wanawake wengine wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Imewekwa: Mar 22, 2022

MHE. Dkt. SELEMAN JAFO AFUNGUA SEMINA YA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Jafo amefungua mkutano wa vijana kutoka vyuo mbalimbali katika jiji la Dar es Salaam kuzungumzia uhifadhi na utunzaji wa mazingira.Mkutano huo umeandaliwa na NEMC

Imewekwa: Mar 22, 2022

NEMC YASHIRIKI SEMINA YA VIJANA YA VYUO VIKUU KUJADILI UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA

NEMC imekutana na vijana kutoka vyuo mbalimbali kujadili na kuzungumzia kuhusiana na utunzaji na uhifadhi waMazingira.

Imewekwa: Mar 22, 2022

NEMC YATOA ELIMU YA MAZINGIRA MAENEO YA GEREJI

NEMC YATOA ELIMU YA MAZINGIRA MAENEO YA GEREJI

Imewekwa: Mar 22, 2022

ZIARA YA WAZIRI ZUNGU KIWANDA CHA OK PLASTI NA METRO STEEL

ZIARA YA WAZIRI ZUNGU KIWANDA CHA OK PLASTI NA METRO STEEL

Imewekwa: Jul 20, 2020

ZIARA YA WAZIRI ZUNGU KIWANDA CHA OK PLASTIC NA METRO STEEL

nemctanzania

Imewekwa: Jul 08, 2020