Kanda ya Kati

Anuani ya Ofisi

Ofisi za Kanda ya Kati zinapatikana jijini Dodoma katika jengo la Kambarage, ghorofa ya 6. Pia anuani za Kanda ni kama ifuatavyo:

NEMC —Kanda ya Kati

S.L. P 2724

Dodoma — Tanzania

barua pepe: nemcdodoma@nemc.or.tz

Simu: +255 262963859

Simu ya moja kwa moja:+255 262963860


NEMC Kanda ya Kati hushuhulikia mikoa ifuatayo:

1.Dodoma – City Council of Dodoma, Chamwino DC, Chemba DC, Kondoa TC, Kondoa DC, Mpwapwa DC, Kongwa DC

2.Singida – Itigi DC, Manyoni DC, Ikungi DC, Mkalama DC, Iramba DC, Singida TC, Singida DC

3.Tabora – Tabora MC, Sikonge DC, Urambo DC, Uyui DC, Kaliua DC, Nzega TC, Nzega DC, Igunga DC,