Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira
Mgeni Rasmi katika warsha ya wadau wa taka hatarishi iliyoandaliwa na NEMC ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe waliohudhuria warsha hiyo
Bodi ya Wakurugenzi pamoja na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wamefanya ziara kukagua uzingatiaji wa Sheria ya Mazingira katika ujenzi wa Reli ya kisasa ( SGR).
Waziri Mkuu Mhe. Kassim M. Kassim amefungua rasmi zoezi la kupanda miti kwenye mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo akizindua maadhimisho ya wiki ya Mazingira kwa kupanda mti Iyumbu jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Samuel Gwamaka akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na athari za kelele na mitetemo
NEMC yaandaa mkutano wa kamati ya taifa ya binadamu na hifadhi hai mjini Morogoro.
Wanawake wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakiwa katika picha ya Pamoja kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam