Mkataba wa Huduma kwa Wateja
Mkataba wa huduma kwa Mteja wa Baraza una lengo la kutoa uelewa wa huduma zinazotolewa na Baraza katika kukidhi matarajio ya wateja. Aidha, unalenga katika kuinua kiwango cha uwajibikaji wa Baraza kwa wananchi katika utunzaji na uhifadhi mazingira ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa taarifa mbalimbali za Mazingira nchini. Aidha, mkataba huu utawasaidia wadau kutambua Viwango vya huduma vilivyopo, upatikanaji wa mrejesho wa malalamiko yaliyowasilishwa pamoja na haki na wajibu wao.
Soma zaidi Here
Habari na Matukio
Matukio
-
Maazimisho
2020-01-21
-
Kongamano la Kisayansi
2023-08-28
-
Wiki ya Utumishi wa Umma
2019-12-15