Ukaguzi wa Mazingira

Ukaguzi wa mazingira hufanyika kwa miradi mikubwa, ya kati na midogo ili kuhakikisha matakwa ya kimazingira yanazingatiwa katika utekelezaji wa miradi hiyo.

0:00