Dira na Dhima

Dira

“Kuwa mamlaka ya kimataifa ya usimamizi wa mazingira ambayo inahakikisha mazingira safi, salama na yenye afya kwa watu wa Tanzania”.

Dhima

“Kukuza Usimamizi wa Mazingira nchini Tanzania kwa kupitia Uratibu, Uwezeshaji, Uhamasishaji, Utekelezaji, Tathmini, Ufuatiliaji na Tafiti”.

Maadili ya Msingi

Uwazi na Uwajibikaji;

Utaalamu na Ubora;

Ushirikiano;

Utawala Bora;

Usawa;

Uadilifu;

Ushiriki wa Wateje na Wadau;