Kanda ya Mashariki -Kusini
Anuani ya Ofisi
Kanda ya Mashariki Kusini inapatikana katika Ofisi ya NEMC Makao Makuu. Katika kitalu namba. 29/30, Reagent Estate, Mikocheni Mkoani Dar-es-salaam. Kanda hiyo ina anuani zifuatazo:
NEMC-Kanda ya Mashariki - Kusini
S.L.P 63154
Dar-es-Salaam-Tanzania
Barua pepe: dg@nemc.or.tz
Simu: 255222774889
MAENEO YA KANDA YA MASHARIKI KUSINI
Kanda hii inashughulikia mikoa ya Dar es Salaama na Pwani:
- Dar-es-salaam -Ilala, Ubungo and Kigamboni
- Pwani - Kisarawe, Mkuranga, Mafia and Kibiti