Video Albums

Ukaguzi kiwanda cha Axel Chemical-Bagamoyo

Waziri Zungu, NEMC wamekagua kiwanda cha Exel kinacholalamikiwa na wananchi kwa kelele na vumbi iliyokithiri, Aidha kinaendeshwa bila vibali vya mazingira na leseni halali.

Posted On: Apr 08, 2020

Hon. Zungu, NEMC meeting with private sector representatives

Wizara kupitia NEMC tutaendelea na utaratibu wa kukutana na wawekezaji na wafanyabiashara ili kuangazia changamoto zilizopo na kuzipatia ufumbuzi hali ambayo itachangia katika kuleta uwazi na uwajibikaji kwa idara zetu-Mhe. Zungu

Posted On: Mar 21, 2020

Ziara ya Naibu Waziri Mussa Sima kwenye machimbo ya dhahabu Singida

Ziara ya Naibu Waziri Mussa Sima kwenye machimbo ya dhahabu Singida

Posted On: Feb 21, 2020

Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dr. Eng. Samuel Mafwenga akiongelea utiriridhaji wa maji taka

Kutiririsha maji taka katika mazingira ni kosa kisheria kama ilivyoanishwa kwenye Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004.

Posted On: Feb 21, 2020

ZIARA YA WAZIRI SIMA KUKAGUA BOMBA LA GESI LILILOVUJA SOMANGA

Mhe. Waziri Musa Sima na Ujumbe wa NEMC akitoa maelekezo baada ya kukagua bomba la Gesi liliopasuka na kuvuja eneo la Somanga, wilayani Kilwa mkoani Lindi hivi karibuni.

Posted On: Feb 21, 2020

VISIT BY THE MINISTER AT DAR-ES-SALAAM PORT

Ziara ya Mh. Waziri Simbachawene bandarini kukagua makontena ya vyuma chakavu

Posted On: Dec 13, 2019