Albamu ya Video
DKT. GWAMAKA AELEZA NAMNA NEMC INASIMAMIA BIASHARA YA VYUMA CHAKAVU
Baraza la Taifa ya Hifadhi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) limewataka wafanyabiashara na wenye viwanda vya vyuma chakavu nchini kuhakikisha wanakuwa na leseni kabla ya kufanya kazi hiyo.
Imewekwa: Apr 21, 2020
WAZIRI ZUNGU KATIKA ZIARA YA UTATUZI MGOGORO WA MAZINGIRA BAINA YA HOTELI ZA WHITESANDS NA KUNDUCH
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Azzan Zungu, Viongozi wa Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (NEMC) na wataalamu mbalimbali, wametembelea ukanda wa bahari ya Hindi wenye mgogoro wa uharibifu wa mazingira, uliosababisha athari kwa wawekezaji wa hoteli jinini D...
Imewekwa: Apr 10, 2020
Ukaguzi kiwanda cha Axel Chemical-Bagamoyo
Waziri Zungu, NEMC wamekagua kiwanda cha Exel kinacholalamikiwa na wananchi kwa kelele na vumbi iliyokithiri, Aidha kinaendeshwa bila vibali vya mazingira na leseni halali.
Imewekwa: Apr 08, 2020
Waziri Zungu, NEMC wazungumza na wadau wa mazingira kutoka Sekta Binafsi
Wizara kupitia NEMC tutaendelea na utaratibu wa kukutana na wawekezaji na wafanyabiashara ili kuangazia changamoto zilizopo na kuzipatia ufumbuzi hali ambayo itachangia katika kuleta uwazi na uwajibikaji kwa idara zetu-Mhe. Zungu
Imewekwa: Mar 21, 2020
Ziara ya Naibu Waziri Mussa Sima kwenye machimbo ya dhahabu Singida
Ziara ya Naibu Waziri Mussa Sima kwenye machimbo ya dhahabu Singida
Imewekwa: Feb 21, 2020
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dr. Eng. Samuel Mafwenga akiongelea utiriridhaji wa maji taka
Kutiririsha maji taka katika mazingira ni kosa kisheria kama ilivyoanishwa kwenye Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004.
Imewekwa: Feb 21, 2020
-
Maazimisho
2020-01-21
-
Kongamano la Kisayansi
2018-08-28
-
Wiki ya Utumishi wa Umma
2019-12-15