Albamu ya Video

VIWANDA VYOTE NCHINI VYATAKIWA KUFUATA SHERIA YA MAZINGIRA

NEMC

Imewekwa: Mar 22, 2022

WAZIRI JAFO AWATAKA WATUMISHI WA SERIKALI KUACHA KUKAA OFISINI

Waziri Jafo awataka watumishi wa Serikali kuacha kukaa ofisini na badala yake kutembelea wananchi na kutatua changamoto za wananchi.

Imewekwa: Mar 22, 2022

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NEMC Dkt. SAMUEL GWAMAKA KWENYE MGODI WA NORTH MARA.

Mkurugenzi mkuu wa NEMC Dkt. Samuel Gwamaka amefanya ziara kwenye mgodi wa NORTH MARA.

Imewekwa: Mar 22, 2022

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango azindua Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021. wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Philip Mpango amezindua sera ya mazingira ya mwaka 2021 jijini Dodoma.

Imewekwa: Mar 22, 2022

WAZIRI JAFO ASHIRIKI KAMPENI YA SOMA NA MTI KATIKA SHULE YA MSINGI SINZA, UBUNGO-DAR ES SALAAM

Waziri wa Nchi ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazningira ameshiki katika kampeni ya soma na mti katika shule ya msingi sinza.

Imewekwa: Mar 22, 2022

WANAWAKE WA NEMC WATOA ZAWADI KWA WANAWAKE WALIOJIFUNGUA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Wanawake wa NEMC watembelea hospitali ya Mwananyamala kutoa zawadi kwa wanawake waliojifungua hospitalini hapo ikiwa ni kuelekea siku ya wanawake duniani.

Imewekwa: Mar 22, 2022