Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira
Mkurugenzi wa huduma za udhibiti kutoka Ofisi ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bw.Daniel Ndiyo(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi kutoka NEMC, GCLA, Maafisa wa forodha kutoka mpaka wa Sirari na Maafisa Mazingira kutoka Wilaya zenye Uchimbaji mara baada ya kufungua mafunzo ya usimamizi wa Zebaki yaliyofanyika katika Hoteli ya Victorious Palace Mwanza
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Mkakati wa Nishati safi ya kupikia, hafla hiyo imefanyika katika Hotel ya JNICC iliyopo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi (katikati) akiwa na watumishi wa Baraza mara baada ya uzinduzi wa Mkakati wa Nishati safi ya kupikia Jijini Dar es Salaam..
NEMC yashiriki mkutano ulioandaliwa na Mtandao wa Mikoko Ukanda wa Magharibi mwa Bahari ya Hindi ( WIOMN) wenye lengo la kujadiliana andiko la Mpango Mkakati wa Utekelezaji wa Utunzaji wa Ikolojia ya Mikoko. Mkutano huo umefanyika katika Hotel ya Slipway Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa huduma za udhibiti kutoka Ofisi ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bw.Daniel Ndiyo(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi kutoka NEMC, GCLA, Maafisa wa forodha kutoka mpaka wa Sirari na Maafisa Mazingira kutoka Wilaya zenye Uchimbaji mara baada ya kufungua mafunzo ya usimamizi wa Zebaki yaliyofanyika katika Hoteli ya Victorious Palace Mwanza
Washiriki wa mataifa 34 watembelea Miradi ya Kuhimili Mabadiliko ya tabianchi iliyopo Wilaya ya Kongwa Dodoma, miradi inayosimamiwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi (NEMC) kujifunza namna miradi hiyo ilivyotekelezwa na kuleta tija kwa wananchi na Taifa kwa ujumla..