Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira
Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza alipotembelewa na Timu ya NEMC iliyoongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dkt. Immaculate Sware Semesi (aliyeketi kushoto) Novemba 11, 2025
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor mpango (wa nne kutika kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Menejiment ya NEMC mara baada ya kukamilisha kikao kazi nyumbani kwakwe Mayamaya Dodoma
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt. Immaculate Sware Semesi akikabidhi vifaa vya michezo kwa wanamichezo watakao shiriki mashindano ya SHIMMUTA 2025, vifaa hivyo vilifadhiliwa na Mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi (Adaptation Fund)
Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (aliyesimama) akizungumza wakati wa kikao na watumishi wa NEMC alipozuru Ofisi za Baraza 23 Oktoba, 2025 ikiwa ni ziara yake ya kik
Mwenyekiti wa Bodi ya NEMC, Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza katika Kikao kilichowakutanisha Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira Zanzibar (ZEMA) kujadili maswala ya uhifadhi wa mazingira.
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi akimkabidhi zawadi Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Profesa Peter Msofe mara baada ya Kikao na watumishi wa NEMC
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Profesa Peter Msofe akiwa katika picha ya Pamoja na Watumishi wa NEMC mara baada ya Kikao tarehe 31 Julai, 2025. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi na kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Fedha (NEMC) Bw. Dickson Mjinja
Ukabidhishaji wa Mradi wa Taka Sifuri kwa Shule Maalumu ya wasichana ya Dar es Salaam uliofanikishwa na NEMC Pamoja na Taasisi ya Mazingira Plus
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi akizungumza wakati wa Warsha ya mchango wa vyakula vya baharini “Blue foods” kwenye lishe na usalama wa chakula iliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort Mkoani Tanga
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa buluu na Uvuvi Zanzibar Bw. Zahor Kassim Mohamed Katikati, Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi wapili kulia na washiriki wa Warsha ya mchango wa vyakula vya baharini “Blue foods” wakiwa katika picha ya pamoja baada ya awamu ya kwanza ya Warsha hiyo
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi akimkabidhi tuzo Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Bi. Latifa Khamis kwa kusimamia utunzaji wa Mazingira msimu wote wa maonesho katika hafla ya kufunga maonesho ya sabasaba 2025
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja akimkabidhi zawadi na cheti cha heshima mshindi wa kwanza wa Mazingira Challenge Bw. Paulo Dotto Masele katika hafla ya siku Maalumu ya Mazingira iliyotengwa katika msimu wa Maonesho ya sabasaba 2025
Afisa Mazingira wa NEMC Bw. Helmes Cosmas akitoa elimu kwa wageni waliotembelea banda la NEMC katika maonesho ya sabasaba 2025
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora Mhe.Deus Clement Sangu akiwaeleza jambo watumishi wa NEMC alipotembelea banda la NEMC katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa umma jijini Dododma
Timu ya NEMC katika picha ya pamoja katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa umma 2025 katika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma
Timu ya NEMC katika picha ya pamoja katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa umma 2025 katika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma
Maafisa wa NEMC wakitoa elimu ya Mazingira katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa umma 2025 katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dododoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akihoji jambo alipotembelea banda la NEMC kwenye Kilele Cha Siku ya Mazingira Duniani Juni 5,2025
NEMC ilivyoadhimisha Siku ya Kobe Duniani, tarehe 23 Mei, katika bustani ya wanyamapori ya Tabora Zoo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamad Yusuf Masauni akimkabidhi nyaraka Mwenyekiti mteule wa Bodi ya NEMC mara baada ya uzinduzi wa Bodi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamad Yusuf Masauni (Katikati waliokaa) katika picha ya Pamoja na wajumbe teule wa Bodi ya NEMC, Menejimenji ya Ofisi ya Makamu wa Rais na timu ya NEMC mara baada ya uzinduzi wa Bodi.
SIKU YA KIMATAIFA YA KUONDOA TAKA 2025 ILIVYOADHIMISHWA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA - DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi akisaini Mkataba wa makubaliano ya awali ya ukusanyaji taka za plastiki nchini kati ya NEMC na Kampuni ya GAIA CLIMATE ya Uturuki.
Mkurugenzi Mkuu NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi akiongea na Waandishi wa Habari kuelezea utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi kwa kipindi cha Miaka minne.
Watumishi wa Baraza wakikabidhi majiko ya Nishati Safi ya kupikia (Gas stoves) kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Arusha tarehe 7/8/3025 siku moja kabla ya Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani. Kushoto ni Mkurugenzi wa Tathmini ya Athari kwa Mazingira-TAM (NEMC) Bi. Lilian Lukambuzi na kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo.