RIPOTI YA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA NA JAMII (TAM) MRADI PENDEKEZWA WA KUANZISHA KITUO CHA KUDHIBITI MATUMIZI YA ZEBAKI-SHINYANGA

Ripoti ya Tathmini ya Athari kwa Mazingira na Jamii kwa Mradi Unaopendekezwa wa Kuanzisha Kituo cha Uchakataji wa Dhahabu bila matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo na wa Kati wa Dhahabu (ASGM) katika Kijiji cha Bumva, Kata ya Segese, Wilaya ya Msalala, Mkoa wa Shinyanga