NEMC KANDA YA MAGHARIBI YATOA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA SHULE YA SEKONDARI KARIAKOO
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Magharibi yatoa mafunzo ya mabadiliko ya Tabia nchi na Umuhimu wa upandaji miti kwa Shule ya Sekondari ya Kariakoo iliyopo Manispaa ya Tabora, sambamba na zoezi la upandaji miti wa matunda kwa Shule hiyo kwa kushirikiana na TFS Tabora, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora na Akili Platform Tanzania
Habari na Matukio
Matukio
-
Maazimisho
2020-01-21
-
Kongamano la Kisayansi
2023-08-28
-
Wiki ya Utumishi wa Umma
2019-12-15