NEMC YAFANYA KIKAO NA HALMASHAURI ZA MKOA WA DAR ES SALAAM


Baraza la Taifa la Hifadhi na Uasimamizi wa Mazingira (NEMC) katika kutekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam la kuhakikisha elimu sahihi juu udhibiti wa kelele chafuzi na katazo la mifuko ya plastiki inatolewa, NEMC imetekeleza agizo hilo kwa kutoa elimu katika Halmashuri ya Wilaya ya Ilala, Temeke, Kinondoni, Ubungo na Kigamboni