Albamu ya Video

Dkt. SELEMANI JAFO AZINDUA KAMPENI YA USIKATE MTI KATA KUCHA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amezindua kampeni ya usikate mti kata kucha aliyoizindua katika eneo la Kisarawe 2 Jijini Dar es Salaam

Imewekwa: Aug 18, 2022

NEMC YATEMBELEA MTAMBO WA KISASA WA KUCHENJULIA DHAHABU

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetembelea mtambo wa kisasa wa kuchenjua dhahabu ambao ni rafiki kwa mazingira

Imewekwa: Aug 18, 2022

MARUFUKU KUJENGA MITAMBO YA KUCHENJUA DHAHABU KWENYE MAKAZI YA WATU - Dkt. Samuel Gwamaka

Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Samuel Gwamaka amepiga marufuku ujenzi wa mitambo ya kuchenjua dhahabu kwenye makazi ya Watu alipofanya ziara ya kukagua Utekelezaji wa Sheria ya mazingira katika Wilaya ya Nzega Mkoa wa Tabora

Imewekwa: Aug 18, 2022

NEMC YAFANYA ZIARA KWENYE MTAMBO WA KISASA WA KUCHENJUA DHAHABU

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa mazingira NEMC lafanya ziara kwenye mtambo wa kisasa wa kuchenjua dhahabu Wilaya ya Katoro Mkoani Geita

Imewekwa: Aug 18, 2022

MARUFUKU KUJENGA MITAMBO YA KUCHENJUA DHAHABU KWENYE MAKAZI YA WATU - Dkt. Samuel Gwamaka

Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Samuel Gwamaka amepiga marufuku ujenzi wa mitambo ya kuchenjua dhahabu kwenye makazi ya Watu alipofanya ziara ya kukagua Utekelezaji wa Sheria ya mazingira katika Wilaya ya Nzega Mkoa wa Tabora

Imewekwa: Aug 18, 2022

NEMC YAFANYA MKUTANO NA KAMATI YA USHAURI WA TAFITI ZA MAZINGIRA - MOROGORO

Baraza la Taifa Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefanya mkutano na Kamati ya Taifa ya Ushauri wa Tafiti za Mazingira Mkoa wa Morogoro kujadili mambo mbalimbali kuhusu Tafiti za Mazingira.

Imewekwa: Mar 24, 2022