𝐍𝐄𝐌𝐂 𝐘𝐀𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈 𝐔𝐙𝐈𝐍𝐃𝐔𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐎𝐍𝐄𝐒𝐇𝐎 𝐘𝐀 𝐖𝐀𝐊𝐔𝐋𝐈𝐌𝐀 𝐉𝐈𝐉𝐈𝐍𝐈 𝐃𝐎𝐃𝐎𝐌𝐀
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki uzinduzi wa maonesho ya wakulima maarufu kama Nanenane jijini Dodoma.
Uzinduzi huo wa maonesho hayo umefenywa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.
Maonesho hayo yaliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali yemebeba kaulimbiu isemayo "Chagua viongozi bora wa Serikali za Mitaa kwa maendeleo endelevu ya kilimo, mifugo na uvuvi"
Mhe. Majaliwa alipozungumza alisema lengo la maonesho haya ni kutoa fursa kwa wakulima, wafugaji, wavuvi,wanaushirika, wajasiriamali na wale wasindikaji kujifunza teknolojia mbalimbali kutoka kwa wadau kwa maendeleo endelevu ya Nchi yetu.
-
Maazimisho
2020-01-21
-
Kongamano la Kisayansi
2023-08-28
-
Wiki ya Utumishi wa Umma
2019-12-15