Nafasi za Kazi

Published: Dec 03, 2024

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano Mh. George Simbachawene, amelipongeza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), kwa kufanya kazi zake kwa kuzingatia kanuni na sheria iliyopo na amelitaka baraza kuendelea kusimamia sheria na kanuni zake ilikuweza kufanya kazi kwa uadililifu na kutenda haki kwa kila mtu.