TAARIFA KWA UMMA


Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa mazingira (NEMC) linapenda kuutarifu umma kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Ummy Mwalimu anatarajia kufanya mkutano na Wadau wote wanaojihusisha na biashara ya vyuma chakavu. Lengo la Mkutano huu ni....

Mkutano huo utafanyika jijini Dar es Salaam siku ya alhamisi tarehe 14 Januari 2021 katika ukumbi wa LAPF Millenium Tower, Kuanzia saa Tatu kamili asubuhi

Wote mnakaribishwa

Kwa mawasiliano piga namba zifuatazo 0712585408 au 0768224661.

Tangazo hili limetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais kushirikiana na Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).